eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Ooooooraiti kabisa ntandabaMabahili tunasifa ya kupokea ila ni wagumu kutoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooooraiti kabisa ntandabaMabahili tunasifa ya kupokea ila ni wagumu kutoa
Hiyo avator ni yako?ukifanikiwa kunichuna walau ya balim buku jero utapataMabahili ndio wanapata mafanikioo sanaa
Sitaki masihara amenusurika kupigwa kibuti muda huu baada ya kuniomba nimuingie kifurushi cha jero
Nakupongeza sana kwa huu ubahili,tusiruhusu mambo madogomadogo kama hayo yatukoseshe rahaHuyu wangu anataka nimnunulie Luku, hakika yake leo atalala kwenye giza.. Ndio ataelewa umuhimu wa kuwa na nokia tochi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyu amevunja CIO ubahili itakuwa salio halisomi vzr;afu me hii style mlokuja nayo ya kujazana upupu mwajisumbua Jana MTU kaja na uzi eti mabingwa wa kuchepuka tukutane hapa jmn wanaume wpo kwny htr ya kupotea kama CIO kutoweka kabsa chaaa mnaboa nyie[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]hahahaha kuna jamaa yangu bahili hatari,ye dau lake mwisho elfu 20000,Yaan yeye huwa hajal wewe ni mzuri kiasi gani,hiyo ndio limit yake ya kuonga, Kuna bint mmoja mrembo wa haja waliingia ktk uhusiano na huyu jamaa,kabla mambo hayaja kaa sawa akapigwa mzinga wa 50000 jamaa akatoa 10000,yule bint alisononeka sana,akidai amedharauliwa sana. Uhusiano uliisha siku hyo [emoji23]. Tukiwa chuo alimpenda bint mmoja wa kimanga,aisee yule demu alikula 60000;na jamaa alikuwa anarecord,siku aliyopewa mzigo ndio uhusiano ulipoisha [emoji23] [emoji23] [HASHTAG]#Teambahilioyeeeee[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatumia kinywaji gani mkuu chukua chochota ntalipia!!Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.
Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] thread closed haya kaandaeni maji ya kuosha vinakuka pichu vyenu!!!Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine
Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
Jamaa yuko vizuri tuu,hata kuhonga laki,laki mbili uwezo huo anao,ila huo ndio utaratibu wa maisha yake,mkewe tu kabla ndoa alikula elfu 10 yake basii na walikaa ktk relation kwa miaka 3,kuna watu wanamisimamo na pesa anajua kuitafuta [emoji23] [emoji23] na watu wa namna hii lazima watoboe ktk maisha cz wanaiheshimu sana pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyu amevunja CIO ubahili itakuwa salio halisomi vzr;afu me hii style mlokuja nayo ya kujazana upupu mwajisumbua Jana MTU kaja na uzi eti mabingwa wa kuchepuka tukutane hapa jmn wanaume wpo kwny htr ya kupotea kama CIO kutoweka kabsa chaaa mnaboa nyie[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Wakuu mi naomba utunza mshiko au ubahili hadi ndani ya chama?Fomu za ukatibu mkuu nitazipata wapi?? hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]One round huyo atakuwa kijana mtanashati sana,[emoji23]
Tunachukua kwa malipo ya kazi tulofanya......kwani sisi katika shughuli ile ndo tunakua active through outIla mkihongwa na wanawake mnachukua?