Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

yaaani ni kutafuna free P tuu, wacha Lara 1 atupige madongo
 
Huyu wangu anataka nimnunulie Luku, hakika yake leo atalala kwenye giza.. Ndio ataelewa umuhimu wa kuwa na nokia tochi...
Nakupongeza sana kwa huu ubahili,tusiruhusu mambo madogomadogo kama hayo yatukoseshe raha
 
Katiba yetu naomba izingatie mambo mawili (1)Ieleweke kwamba kuhonga ni dalili ya kutojikubali na kutokujiamini kunakopelekea kuamini bila pesa kuwa huwezi kung'oa bebezz wakali (2) Pia itambue kuwa kuhonga kunakufanya uzidi kuwa masikini na kupoteza mvuto mbele ya mabebez wakali maana kama una pesa hata kama huhongi watakuja tu wakuite baby.
 
Wakuu nko hapa mwanachama hai...nakumbuka kiwango cha mwisho kihonga ilikua ni 1500 pale chuoni,nilimnunulia mtoto mzuri wali njegere cantee.Alishukuru sana kwasababu alikua hajawahi mbulia kitu zaid ya nauli ya daladala za kwenda chuo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyu amevunja CIO ubahili itakuwa salio halisomi vzr;afu me hii style mlokuja nayo ya kujazana upupu mwajisumbua Jana MTU kaja na uzi eti mabingwa wa kuchepuka tukutane hapa jmn wanaume wpo kwny htr ya kupotea kama CIO kutoweka kabsa chaaa mnaboa nyie[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.

Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatumia kinywaji gani mkuu chukua chochota ntalipia!!
 
Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine

Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] thread closed haya kaandaeni maji ya kuosha vinakuka pichu vyenu!!!
 
Hiki chama hata agombee nonino namchagua!
Mothafanta I'm in
 
Jamaa yuko vizuri tuu,hata kuhonga laki,laki mbili uwezo huo anao,ila huo ndio utaratibu wa maisha yake,mkewe tu kabla ndoa alikula elfu 10 yake basii na walikaa ktk relation kwa miaka 3,kuna watu wanamisimamo na pesa anajua kuitafuta [emoji23] [emoji23] na watu wa namna hii lazima watoboe ktk maisha cz wanaiheshimu sana pesa
 
Mimi nastahili kuwepo hapa? maana nna demu tuna aka 5 hivi juzi ndo kanichana makavu ati pesa nazompa mpa tangu tuanze uhusiano mda wote huo haijafika hata 200000 ukitoa zile za nyumba ya wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…