Mabaka usoni yananitesa

The Kingston

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
33
Reaction score
4
Wadau naomba mnijulishe ni sabuni gani au lotion gani nitumie ili kuondoa haya mabaka usoni au pia nifanye kipi ili kuyatoa haya mabaka usoni kwangu maana uso wangu umeharibika.
 
Nenda kwa daktari wa ngozi ndo atajua vizuri,mi naijua benzyl peroxide ni cream ya usoni,inatoa pimples na makovu yake
 
  • Mabaka yanayotokana na nini?
  • Yanawasha?
  • Muonekano wake yapoje?
  • Unayo kwa muda gani?
  • Umeshajaribu kuyatibu? na kama jibu ni ndio umetumia tiba gani?
 
  • Mabaka yanayotokana na nini?
  • Yanawasha?
  • Muonekano wake yapoje?
  • Unayo kwa muda gani?
  • Umeshajaribu kuyatibu? na kama jibu ni ndio umetumia tiba gani?

Yanatokana na chunusi yaani ikiisha tu inaacha kovu lakini hayawashi ninayo kwa muda mrefu ila siku za karibuni yamezidi, sijatumia dawa yoyote
 
Yanatokana na chunusi yaani ikiisha tu inaacha kovu lakini hayawashi ninayo kwa muda mrefu ila siku za karibuni yamezidi, sijatumia dawa yoyote
Hayo ni makovu ,ukipata chunusi usizitumbue, wala usizichezee ndio solution!Jaribu creams au facial treatments zinazoweza kukusaidia kuimarisha ngozi lakini hakuna tiba ya makovu labda kwa
  • Lasertreatment
  • Steroid injections n.k
 
Cream kama zipi hizo nitumie
 
Ukienda kwa Dr. atakuchana live kwamba chapisha chapisha dudu hyo.
 
Haichubui ngozi hiyo cream

haichubui,unaweza i'google,nishawahi kupewa na daktari wa ngozi na dawa za kumeza baada ya kusumbuliwa na rashes plus pimples usoni,zmeisha uso umetakata kabisa,japo inachukua muda zaidi ya mwezi na nusu but matojeo utayapenda,see a doctor
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…