The Kingston
Member
- Feb 23, 2013
- 33
- 4
Wadau naomba mnijulishe ni sabuni gani au lotion gani nitumie ili kuondoa haya mabaka usoni au pia nifanye kipi ili kuyatoa haya mabaka usoni kwangu maana uso wangu umeharibika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Mabaka yanayotokana na nini?
- Yanawasha?
- Muonekano wake yapoje?
- Unayo kwa muda gani?
- Umeshajaribu kuyatibu? na kama jibu ni ndio umetumia tiba gani?
Nenda kwa daktari wa ngozi ndo atajua vizuri,mi naijua benzyl peroxide ni cream ya usoni,inatoa pimples na makovu yake
Hayo ni makovu ,ukipata chunusi usizitumbue, wala usizichezee ndio solution!Jaribu creams au facial treatments zinazoweza kukusaidia kuimarisha ngozi lakini hakuna tiba ya makovu labda kwaYanatokana na chunusi yaani ikiisha tu inaacha kovu lakini hayawashi ninayo kwa muda mrefu ila siku za karibuni yamezidi, sijatumia dawa yoyote
Hayo ni makovu ,ukipata chunusi usizitumbue, wala usizichezee ndio solution!Jaribu creams au facial treatments zinazoweza kukusaidia kuimarisha ngozi lakini hakuna tiba ya makovu labda kwa
- Lasertreatment
- Steroid injections n.k
Ukienda kwa Dr. atakuchana live kwamba chapisha chapisha dudu hyo.
Haichubui ngozi hiyo cream
- Mabaka yanayotokana na nini?
- Yanawasha?
- Muonekano wake yapoje?
- Unayo kwa muda gani?
- Umeshajaribu kuyatibu? na kama jibu ni ndio umetumia tiba gani?
Tumia Retinoid cream au Vitamin C cream/serum!Cream kama zipi hizo nitumie
haichubui,unaweza i'google,nishawahi kupewa na daktari wa ngozi na dawa za kumeza baada ya kusumbuliwa na rashes plus pimples usoni,zmeisha uso umetakata kabisa,japo inachukua muda zaidi ya mwezi na nusu but matojeo utayapenda,see a doctor