Mabaki ya kale 13,000 ya kitamaduni yamegunduliwa kutoka katika mashimo sita kwenye eneo jipya la kazi ya ufukuaji katika eneo la mabaki ya kale la Sanxingdui nchini China.
Taasisi ya Utafiti wa Mabaki ya Kale na Akiolojia ya Mkoa wa Sichuan ilitangaza hayo katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika jana jumatatu, na kuthibitisha kimsingi eneo la kutolea kafara katika mabaki hayo.
Mabaki hayo yanayokisiwa kuwa ya wakati wa Enzi ya Shang (1600BC-1046BC) yaliyoenea katika eneo la kutolea kafara yanahusika na vitendo vya kutoa kafara, na yanachukua eneo la kilomita za mraba 13,000.