Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Haya ni makombola ya ballistic ambayo ni ya masafa marefu. Hili lililotumika ni Intermediate-range ballistic missile (IRBM): 3,000 to 5,500 kilometers (1,860 to 3,410 miles) mara nyingi yanakua yamebeba vichwa vya nyuklia.
Nadhani hii ni alert imetolewa na jeshi la Israel kwamba kama wakiendelea kitachofata ni vita ya nyuklia. Nisiseme sana ila yanatumika pia kusafirishia satellite
Nadhani hii ni alert imetolewa na jeshi la Israel kwamba kama wakiendelea kitachofata ni vita ya nyuklia. Nisiseme sana ila yanatumika pia kusafirishia satellite