Ccm tumieni akiliSasa hayo makombola yakiwalipukia huko huko maabara itakuwaje.
Mbona kinafuata tu lazima achapike tu huyo zayuni alafu apige nyukilia yake tuone kama litaendelea kua taifa pale mido east tena mbele ya baba akeHaya ni makombola ya ballistic ambayo ni ya masafa marefu. Hili lililotumika ni Intermediate-range ballistic missile (IRBM): 3,000 to 5,500 kilometers (1,860 to 3,410 miles) mara nyingi yanakua yamebeba vichwa vya nyuklia.
Nadhani hii ni alert imetolewa na jeshi la Israel kwamba kama wakiendelea kitachofata ni vita ya nyuklia. Nisiseme sana ila yanatumika pia kusafirishia satellite
Wewe unasaidiwa na mataifa 30 tajiri duniani kwanini upotee hata ungekuwa wewe ungepotea licha ya misaada lukuki?Ingekuwa si ya maana isingekuwepo midle east kitambo. Mwanzo mlisema hawawezi rusha hata jiwe Irani, kiko wapi sasa..
Kuna wakati Iran waliweza kuiteka drone yao na kui command hadi ikatua Tehran. Kama sikosei hadi sasa ipo kwenye makumbusho yao.⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️
𝗣𝗶𝗰𝘁𝘂𝗿𝗲𝘀 𝗼𝗳 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗰𝗲𝗽𝘁𝗲𝗱 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶 𝗠𝗶𝘀𝘀𝗶𝗹𝗲𝘀 𝗥𝗲𝘃𝗲𝗮𝗹𝗲𝗱…
Keep in mind these were Israel’s “top secret” missiles.
This missile is either the “𝗥𝗼𝗰𝗸𝘀” or “𝗚𝗼𝗹𝗱𝗲𝗻 𝗛𝗼𝗿𝗶𝘇𝗼𝗻” both top-secret Israeli tech.
Kumbe Upuuzi mtupuIsrahell ukiisikiliza bbc dah utaiona ya maana
Aisee umenifungua akili kombola kubwa kama hili ndege inabebajeHuu sio kweli hayo ni makombola ya Iran huko Iraq.
Ndege ya kivita haiwezi beba kombola kubwa namna hio.
Haaaaaaaaaa
Israhell ya kawaida SanaaaaaaaKumbe Upuuzi mtupu
Anapewa kila Kitu na Mbwa wenzie lakini Hovyo
Umewaza kama mimiKama ni hivyo basi uko maabara za Israel zitakuwa zimejaa hayo madude.
Iran nae ana washirika hawajazuiwa kupewa kila kitu, nao wapeweKumbe Upuuzi mtupu
Anapewa kila Kitu na Mbwa wenzie lakini Hovyo
Hayo makombora yamerushwa na Israel kutokea kambi ya Marekani huko Iraq yenye range ya KM 100+Haya ni makombola ya ballistic ambayo ni ya masafa marefu. Hili lililotumika ni Intermediate-range ballistic missile (IRBM): 3,000 to 5,500 kilometers (1,860 to 3,410 miles) mara nyingi yanakua yamebeba vichwa vya nyuklia.
Nadhani hii ni alert imetolewa na jeshi la Israel kwamba kama wakiendelea kitachofata ni vita ya nyuklia. Nisiseme sana ila yanatumika pia kusafirishia satellite
Sio rahisi kiivyo, ingekuwa hivyo asingekuwa anapelekewa silaha na mabwana zake kila sikuKama ni hivyo basi uko maabara za Israel zitakuwa zimejaa hayo madude.
Pro - Iran , pamoja na Hezbollah na hamas nimegundua wanapropaganda sanaAisee umenifungua akili kombola kubwa kama hili ndege inabebaje
BBC wanavyomsifia iareli sasa utadhani kilkchofanyika ni cha maana sanaIsrahell ukiisikiliza bbc dah utaiona ya maana
Kumbe uharo mtupuBBC wanavyomsifia iareli sasa utadhani kilkchofanyika ni cha maana sana