Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mabaki ya mwili wa Naomi Orest Marijani aliyeuawa kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na Mume wake Hamis Luwongo Mai 15, 2019 maeneo ya Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es salaam, yanaagwa kwa Baba yake mdogo maeneo ya Mtoni Kijichi leo Ijumaa Machi 14, 2025 kwa ajili ya kusafirishwa kwenda kwenye maziko nyumbani kwao Upareni Mkaoni Kilimanjaro.
Soma: Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa
Mabaki ya mwili wa Naomi unaagwa baada ya hukumu iliyotolewa Februari 26, 2025 na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam na Jaji wa Mahakama hiyo Hamidu Mwanga ya kunyongwa hadi kufa kwa aliyekuwa Mume wake Hamis Luwongo baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mke wake huyo, Naomi Marijani.