Mabaki ya mwili wa Naomi Marijani aliyeuawa na mume wake Hamisi Luwogo kwa kuchomwa moto kwa magunia mawili ya mkaa kuzikwa Kilimanjaro

Mabaki ya mwili wa Naomi Marijani aliyeuawa na mume wake Hamisi Luwogo kwa kuchomwa moto kwa magunia mawili ya mkaa kuzikwa Kilimanjaro

Sema ... majivu....
Wanaume mnaopiga wake zenu mlaaniwe, na nyie wanawake muache kuwa na shingo ngumu.
Umewalaani wanaume wanaopiga wake zao, hebu walaani na hao wanawake wenye shingo ngumu.
 
Neno Upareni tu lilitosha. Kilimanjaro imeingiaje? Ulishasikia mtu anazikwa Rombo Kilimanjaro?
Kuna sehemu inaitwa upareni!? Kwahiyo kagera tupaite uhayani!? Punguza ujuaji
 
Tukio alilolifanya Hamis ni baya sana
Kama we ni mwanaume hifadhi maneno kwenye hili. Tumuombee kheri mwanaume mwenzetu huko mbeleni lolote litokee hata msamaha wa Rais arudi uraiani kupambania ndoto zake. Mpaka mtu anafikia maamuzi magumu hivyo kuna mengi nyuma ya pazia. Hawa wanawake waone hivyohivyo tu ila ukiishi nao ndani (hasa hao ma super woman) usipoishia kukombia mji unaweza kufanya tukio la ajabu.
 
Pamoja na hayo huyu ndugu aliingiwa na roho ya ajabu, hiyo sio hali ya kawaida bila kujalisha alifanyiwa nini hakupaswa kufanya unyama huo. Bora angemwacha aendelee na maisha yake na yeye akaendelea na yake kuliko kitendo alichokifanya. Anapaswa kumlilia Mungu amsamehe kabla ya Serikali.
 
Back
Top Bottom