Mabaki ya mwili wa Naomi Orest Marijani aliyeuawa kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na Mume wake Hamis Luwongo Mai 15, 2019 maeneo ya Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es salaam, yanaagwa kwa Baba yake mdogo maeneo ya Mtoni Kijichi leo Ijumaa Machi 14, 2025 kwa ajili ya kusafirishwa kwenda kwenye maziko nyumbani kwao Upareni Mkaoni Kilimanjaro.
Mabaki ya mwili wa Naomi unaagwa baada ya hukumu iliyotolewa Februari 26, 2025 na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam na Jaji wa Mahakama hiyo Hamidu Mwanga ya kunyongwa hadi kufa kwa aliyekuwa Mume wake Hamis Luwongo baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mke wake huyo, Naomi Marijani.

Wapare!! Mimi nimeshuhudia mama na watoto wake wawili wa kike, walikuwa, wanaliwa na jamaa mmoja,wote,ila wao bila kujua ,wanamchangua mtu mmoja. Wapare😔
Dada zangu wa kipare wengi kwenye ndoa ni changamoto sana hasa umkute ana kakibarua kake.......
Wengi wao huwa hawapendi ndugu wa mume hasa pale mume akiwa ana hela....hapo watajaa wapare kama wapo Vudee...ni mwendo wa kande tu.....
Wakiolewa na kabila lingine wanaona kama wamepata fursa ya kuchuma na kupeleka kwao na kudharau kabila la mumewe.....
Hilo la uchoyo linajulikana halihitaji maelezo......
Kuwa na mpenzi wake wa kijijini waliyeanza naye mahusiano....hao huwa hawaachani hata kama wametawanyika mikoa mingine kutafuta maisha lakini wakirudi vijijini kwenye masikukuu ni kama kawaida
Sio wote lakini wengi wao wapo hivyo.....
Ni dada zangu lakini siwezi kuwaweka kama chaguo la kwanza kwa mtu anayehitaji kuoa.....

Victim blaming. Hamsemi mabaya ya muuaji mnaona alichofanya ni sawa tu. Hakuna sababu yeyote ile inayohalalisha kutoa uhai wa mtu. Wamatumbi wengi wenu sijui ni kukosa exposure bado mna ujinga mwingi vichwani.