Mabaki yanayoaminika ya nyambizi ya Titan yapatikana

Mabaki yanayoaminika ya nyambizi ya Titan yapatikana

“I mean, if you just want to be safe, don’t get out of bed,” he said in an interview with “CBS News Sunday Morning” last year. “Don’t get in your car. Don’t do anything. At some point, you’re going to take some risk, and it really is a risk-reward question. I think I can do this just as safely by breaking the rules.” - Stockton Rush
 
Screenshot_20230623-073938.png
 
James Cameron, mtunzi na muongozaji wa filamu ya Titanic amesema yeye amewahi enda eneo ilipo Titanic kwa mara 33 na amekaa ndani ya hiyo meli mara nyingi kuliko Captain wa meli husika.

Alisema tatizo ni chombo walichoenda nacho
 
Yani unaleta habari amna link,amna picha, amna chochote.

Mradi umeliandika li uzi ukalipost umemaliza.

Hadhi ya JF inashuka sana siku hizi
JF haihoji cheti wala level ya elimu kwa kila anayejiunga.

Hajaajiriwa na JF na bafo unadhani hadhi ya JF inashuka kwa yeye kuleta unbalanced info, lakini hebu angalia ulichoandika. Sarufi hazina hadhi ya lugha fasaha.
 
Nyambizi titan iliyopotea kwa siku 5 sasa, ikiwa na abiria 5 mabaki yake yapatikana na walinzi wa pwani.

Chanzo BBC

======

Mabaki yameonekana kwenye eneo la utafutaji wa nyambizi ya Titan aliyopotea Jumapili. Bado haiko wazi kama mabaki hayo kama yanahusiana na nyambizi iliyopotea, maafisa wa walinzi wa pwani wanatarajia kutoa maelezo baadae kwenye kikao na waandishi wa habari

CNN
Pwani ya wapi, Bagamoyo au Mtwara?. Kikao na waandishi wa habari ukumbi Gani? Diamond jubilee au wa CCM Chimwaga?. Habari Iko nunsu nusu ndio maana watu wanakulaumu. Tafadhali tusaidie ufafanuzi kidogo.
 
“I mean, if you just want to be safe, don’t get out of bed,” he said in an interview with “CBS News Sunday Morning” last year. “Don’t get in your car. Don’t do anything. At some point, you’re going to take some risk, and it really is a risk-reward question. I think I can do this just as safely by breaking the rules.” - Stockton Rush
Ni swala la muda wako tu wa kuishi,ukishafika lazima utaondoka,maana hata ukisema ukae tu kitandani unaweza kulipukiwa na moto au tetemeko ukashindwa kutoka ikawa ndio mwisho wako,ila safari kama hizo zao zinahitaji ujasiri sana,maana ni life and death,hii haina tofauti na zile safari za kwenda anga za juu...
 
Nyambizi hiyo ilipata ajali katika eneo ilikotokea ajali meli ya Titanic mwaka 1992
Msababishi mkuu ni shetani au ibilisi na sio Mungu.

Kwani Mungu auui watu wake na siku ya hukumu ya kuja kuuawa waouvu ni hapo meisho atakapo rudi Yesu Kristo.
Hivyo dhana kuwa eneo hilo lina uwepo wa Mungu watu waache hivyo wajue kuwa eneo hilo lina uwepo wa shetani au ibilisi na hata pia washirika kama watesi wa watu wa Mungu kule Ukrain nao wachunguzwe kwenye hiyo ajali maana shetani yuko nao, namaanisha urusi na washirika wake wachunguzwe.



Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Cha Mungu wala shetani hapo!! Hayo yote yametokana na werevu na upumbavi wa binadamu!!

Tusisingizie vitu ambavyo tunaamini vipo tu tukapuuzia uhalisi tunaoutenda sisi kama sisi
 
Back
Top Bottom