ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
JF haihoji cheti wala level ya elimu kwa kila anayejiunga.Yani unaleta habari amna link,amna picha, amna chochote.
Mradi umeliandika li uzi ukalipost umemaliza.
Hadhi ya JF inashuka sana siku hizi
Pwani ya wapi, Bagamoyo au Mtwara?. Kikao na waandishi wa habari ukumbi Gani? Diamond jubilee au wa CCM Chimwaga?. Habari Iko nunsu nusu ndio maana watu wanakulaumu. Tafadhali tusaidie ufafanuzi kidogo.Nyambizi titan iliyopotea kwa siku 5 sasa, ikiwa na abiria 5 mabaki yake yapatikana na walinzi wa pwani.
Chanzo BBC
======
Mabaki yameonekana kwenye eneo la utafutaji wa nyambizi ya Titan aliyopotea Jumapili. Bado haiko wazi kama mabaki hayo kama yanahusiana na nyambizi iliyopotea, maafisa wa walinzi wa pwani wanatarajia kutoa maelezo baadae kwenye kikao na waandishi wa habari
CNN
Watano!Abiria walikua wa 4 sio 5
Walikibip kifoKama ni kweli Basi wapumzike kwa amani🙏🙏🙏
Kwao ni Sawa na shilling milioni 2 huku TanzaniaNdiyo, sawa na zaidi ya shilingi milioni 500 kwa kila abiria!
Ni swala la muda wako tu wa kuishi,ukishafika lazima utaondoka,maana hata ukisema ukae tu kitandani unaweza kulipukiwa na moto au tetemeko ukashindwa kutoka ikawa ndio mwisho wako,ila safari kama hizo zao zinahitaji ujasiri sana,maana ni life and death,hii haina tofauti na zile safari za kwenda anga za juu...“I mean, if you just want to be safe, don’t get out of bed,” he said in an interview with “CBS News Sunday Morning” last year. “Don’t get in your car. Don’t do anything. At some point, you’re going to take some risk, and it really is a risk-reward question. I think I can do this just as safely by breaking the rules.” - Stockton Rush
James Cameron, mtunzi na muongozaji wa filamu ya Titanic amesema yeye amewahi enda eneo ilipo Titanic kwa mara 33 na amekaa ndani ya hiyo meli mara nyingi kuliko Captain wa meli husika.
Alisema tatizo ni chombo walichoenda nacho
Mwanaume mzima unaomba link badala ukatafute mwenyeweLink
Hizo ni 250,000 usd ni sawa 700,000,000/=Kwao ni Sawa na shilling milioni 2 huku Tanzania
Ha ha ha kwanini mkuu?Daaah! dunia mapito.