Mabaki yanayoaminika ya nyambizi ya Titan yapatikana

Urusi naye achunguzwe ama aandike maelezo kuhusiana na ajali hii maana ni mzoefu wa mauaji. Mbons huko Ukrain anaua?

Shetani na Urusi wana ushirikiano wa karibu sana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha kwanini mkuu?
mkuu. Kabwela anaondoka kwa njaa na kukosa matibabu. Matajiri wanaondoka kwa nyambizi wakitaka kuweka historia ya kutembelea Titanic. Hiyo nauli ya kwenda na kurudi kwa kutumia nyambizi mtu mmoja akipewa huku kwetu, tayari ni tajiri.
 
Kabisa kaka milion 700 ni pesa ndefu saana.
 
James Cameron, mtunzi na muongozaji wa filamu ya Titanic amesema yeye amewahi enda eneo ilipo Titanic kwa mara 33 na amekaa ndani ya hiyo meli mara nyingi kuliko Captain wa meli husika.

Alisema tatizo ni chombo walichoenda nacho

Uongoo huu.
Chombo chenye uwezo wa kufika pale kwenye masalia ya titanic vipo 4 tu dunia nzima hizo mara 33 aliendaje!?
 
Pumba [emoji3063][emoji3063]
 
Hakuna Cha Mungu wala shetani hapo!! Hayo yote yametokana na werevu na upumbavi wa binadamu!!

Tusisingizie vitu ambavyo tunaamini vipo tu tukapuuzia uhalisi tunaoutenda sisi kama sisi

Imani ni excuse ya binadam
 
Uongoo huu.
Chombo chenye uwezo wa kufika pale kwenye masalia ya titanic vipo 4 tu dunia nzima hizo mara 33 aliendaje!?
naomba kujua urefu wake wa kina kutoka juu ya bahari mpaka hapo titanic ilipo...
 
Pesa sio kitu kabsa juu ya uhai

Na hapo ndio Mungu mtukufu anaonyesha juu ya pesa zako na wingi wake alaf kuna yeye mkubwa kuliko chochote kilee maana hapo wamekufa mamilionea kama sio mabilionea

Mungu tujaalie mwisho mwema InshAAllah
Acha kujifariji kwa kuwa masikini, umasikini ni laana...
 
Pesa sio kitu kabsa juu ya uhai

Na hapo ndio Mungu mtukufu anaonyesha juu ya pesa zako na wingi wake alaf kuna yeye mkubwa kuliko chochote kilee maana hapo wamekufa mamilionea kama sio mabilionea

Mungu tujaalie mwisho mwema InshAAllah

Endelea kujificha kwenye kivuli cha umaskini tafuta hela hakuna anae baki dunian hakikisha umeishi maisha mazuri ukaiona dunia yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…