Mabala: Tuendelee kumlinda Rais Samia, kiongozi akikiuka misingi ya CCM apelekwe Kamati ya Maadili

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa, akizungumza na mabalozi na makada mbalimbali wa CCM mkoani humo, amesema Katiba Mpya haiwezi kupatikana kwa malalamiko yasiyo na tija, kwani suala hilo tayari limeainishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

"Zikianza mbio za urais sasa kwa kisingizio cha Katiba Mpya, hatutapata maendeleo. Lazima tumlinde Mwenyekiti wetu, Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kila mtu amheshimu mwenzake, kwani hakuna mkubwa kuliko CCM. Hatuwezi kuwa kama vyama vya ukombozi vya nchi jirani vilivyokufa," amesema Mabala Mlolwa.

Mlolwa amesisitiza kuwa CCM lazima iendelee kulinda misingi yake, na kwamba kiongozi wa ngazi yoyote atakayekwenda kinyume na maadili achukuliwe hatua kwa kupelekwa Kamati ya Maadili, kwa kuwa hakuna aliye juu ya CCM.

Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Kwani huyu ndiye Mabala the farmer mwenyewe ama copy yake?
 
Mtaji Mkubwa wa CCM ni.

1. Wajinga.
2. Wapumbavu.
3. Malofa.
4. Mbumbumbu na
5. Vichaa.
 
Mabala kwa kiswahili ni sehemu isiyokaliwa na watu
 
Back
Top Bottom