Mabalaa ya Doumbia mazoezini kuna watu wataaibika kama Mhasibu na Azizi Ki

Mabalaa ya Doumbia mazoezini kuna watu wataaibika kama Mhasibu na Azizi Ki

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Nasikia Doumbia kawaka huko mazoezini anatupia kama goal machine aisee. Kuna watu wataaibika, hili linaenda kuwa goat la CAF.

ASANTE MO NA MAGORI KWA USAJILI USIO NA MIHEMKO.
 
Eeh mkuu hii Doumbia inaonekana kama ndio tunahitaji, lakini hilo swali la nani atamlisha ni jibu la msingi. Kama hawana feeder mzuri, goal machine itakaa na njaa. Tuone mazoezi yatasemaje
 
1000003502.jpg
 
So longer bado anapangwa na anacheza pale mbele ya goli ipo siku atakutana na mpira umepotea njia atafunga tu. Na kwa jinsi baadhi ya viongozi, wanachama na msemaji wao wasivyojua mpira utasikia tambo zao. Kwa vyovyote vile Doumbia sio mshambuliaji sahihi wa kuivusha Simba kutoka hapa ilipokwama kwenye ligi na mashindano ya CAF

Watu wengi wanapenda mpira lakini sio wafuatlliaji. Huyo Doumbia kule kwao ana namba nzuri sana za magoli. Lakini idadi kubwa ya magoli yake kafunga kwa penati na vichwa. Lakini hayo ya vichwa ni "free header". Ndio maana anapata taabu sana kufunga hapa kwenye ligi yetu kwa sababu mabeki hata wa timu ndogo hawampi hiyo nafasi ya kuruka mwenyewe.

Namlaumu sana huyo aliyemsajili pale Simba. Kwani inaonekana aliaangalia zaidi namba hata "clipi" hakuangalia vizuri. Kwa uchezaji wa Doumbia hata ukiaangalia tu "clip" kwa mtu anayefahamu mpira vizuri aidha asingemsajili moja kwa moja kabisa au angesubiri kwanza amuone kwenye majaribio ajiridhishe ndio amsajili.

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom