Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Yaani mtu akiniandikia hivi hata namuona mvivu tu na huwa namdharau. Yaani anaandika bila kufanya editing.Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.
View attachment 2488513
Ni kweli kabisa.Mtu mwenye miandiko ya hivi huwa akili zake hazijakomaa sawasawa
We acha tu wakati mwingine tunapitia changamoto nyingi sisi wanaume....🤣Nakumbuka ulisema kuna baby mama umu umezaa naye au ndio uyo
Ha ha ha.... Nimechoka sana. Pexa sizikwi nazo anasema...zitabaki hapa hapa....yeye kazizika zake...Hacha ubahili na pexa zako..mxiuuu[emoji1787]
Waliambiwa na mama yao kuwa wao wanapaswa wawe wanapewa pesa. Halafu wanasahau kabisa suala la haki sawa kwa wote inapokuja kipengele cha pesa wanaamini wao wanapaswa kupokea.Mbona madem wa bongo wanapenda kuomba omba sana..?
Mambo haya ya kuombana pesa nì Bongo tu!
Kakukomesha kweli kweli na yeye.Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.
View attachment 2488513
🤣🤣🤣🤣 Bwege yule anadhani tunagawa tu pesa kwa sasa. Tulishahama huko. Pesa tunawapa wanawake wenye akili tu.Kakukomesha kweli kweli na yeye.
Pesa huna unapata wapi nguvu ya kuandika kithunguu.
Mtu mwenye akili hawezi tafuta kitu ambacho anacho dada. Na wewe ndo wale wale....ela ndo nini? Mi huwa siwapi pesa wanawake ambao hawana akili.Tafuta ela kaka