Mabalaa yaniandama tu Jamani!

Mabalaa yaniandama tu Jamani!

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.

Screenshot_2023-01-20-10-28-36-229_com.whatsapp~2.jpg
 
Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.

View attachment 2488513
Yaani mtu akiniandikia hivi hata namuona mvivu tu na huwa namdharau. Yaani anaandika bila kufanya editing.
 
Mkuu umemind mwandiko wake au hilo bango la wewe kuwa kapuku?🤔
 
Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.

View attachment 2488513
Kakukomesha kweli kweli na yeye.
Pesa huna unapata wapi nguvu ya kuandika kithunguu.
 
Back
Top Bottom