Aah wapi ww na madem zako hao xaxa nipo xabato. Khaaa Alf ukija hapa unatamba ana trakoo kumbe pasi ya mkaa.🤣🤣🤣🤣 Bwege yule anadhani tunagawa tu pesa kwa sasa. Tulishahama huko. Pesa tunawapa wanawake wenye akili tu.
Ni kwa sababu wamegundua K zao ni biashara na wanaume wa tz wakiitwa dear tu basi huwa wanaanza kufikiri kwa kutumia kichwa ndogo na huwa rahisi kutowa pesa.Mbona madem wa bongo wanapenda kuomba omba sana..?
Mambo haya ya kuombana pesa nì Bongo tu!
Wakwanza kufulia nani si ni huyo Ombaomba. Wanawake hivi huwa wanajikutaa sanaa et eeeh, ndiomana tunapowapa pesa bila kuwapa mitihani kama hii tunaonekana malofa sana.Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.
View attachment 2488513
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.
View attachment 2488513
Msamehe. Mtumie tu.Juzi kuna mmoja hata simjui anataka nimpelekee mtungi wa gas ya taifa.halafu anafosi kinoma.nikambloki.
Angeniomba kistaarabu na heshima ningemtumia anunue.
Wanawake wengi wamekuwa na stress sana za haya maisha!!
URAYA hawaombagi pesa?Mbona madem wa bongo wanapenda kuomba omba sana..?
Mambo haya ya kuombana pesa nì Bongo tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂huna pesa wew ungekua nazo ungekuja kulia lia hapa wenzako wanahonga marange wala hawalii lii kama wwMtu mwenye akili hawezi tafuta kitu ambacho anacho dada. Na wewe ndo wale wale....ela ndo nini? Mi huwa siwapi pesa wanawake ambao hawana akili.
Hapo ngoma drool[emoji23][emoji23]
Mtu mwenye akili hawezi tafuta kitu ambacho anacho dada. Na wewe ndo wale wale....ela ndo nini? Mi huwa siwapi pesa wanawake ambao hawana akili
Haiwezekani mkuu, labda wanaojiuza , lakini boyfriend na girlfriend hawaombani pesa..!URAYA hawaombagi pesa?
Mwanamke akiniomba hela nam block period!Mbona madem wa bongo wanapenda kuomba omba sana..?
Mambo haya ya kuombana pesa nì Bongo tu!
Why nihonge kwanza? SihongiSawa bhana, tumekwisha jua kuwa una uwezo mkubwa wa kutype kizungu. Wacha ubahili, tuma pesa upewe mbususu. 50k tu inakupa mawazo! Je ungehonga 64 inch smart tv?
Alafu huo ni mwandiko wa vibinti vilivyozaliwa MIAKA ya 2000's.Mtu mwenye miandiko ya hivi huwa akili zake hazijakomaa sawasawa
DuuhMwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi ataniambukiza matatizo yake.
View attachment 2488513
Why nihonge kwanza? Sihongi