Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Insta kuna vituko sanaWabongo kwa kunyimana fursa hatujambo
EeehInsta kuna vituko sana
Ila wanakosea sana kwani zari si hadi ana porn yule
Tunapenda sana shobokea wageni sijui hizi fkra zitatoka lini,halaf na waziri anaangalia tu kama jinga tuEeeh
Mi nashangaa eti wanasena masista wabongo kazi kuonesha misambwanda.
Ila alo onesha video ya ngono ndio wana mfagilia.[emoji1]
Wabongo tuna shobo zisizo na sababu hasa kwa wageni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunapenda sana shobokea wageni sijui hizi fkra zitatoka lini,halaf na waziri anaangalia tu kama jinga tu
Basi wampe na ubalozi wa vidonge vya majira afunge uzazi
Watanifanya nini Mama Sabrina jeuri kiburi nna roho saba meme,tunawaambia ukweli,halaf jitu ukiona jinga unaacha tu kulijibu ,basi nabii hakubaliki kwao basi ila kwa hili wamezidi mbwa hawa,waombee nisije kuwa waziri hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaah! The table you are shaking!!
Meza unayo tingisha hiii, wamekalia team zari, wakija hapa mi sipo.
Ila Zari hata kwao kwenyewe hathaminiki kama hapa. Tanzania ndio sehem pekee mwenyeji hapewi nafasi
Wamesahau kuwa pia Dee alikuwa ki Ben10 wa ZeeInsta kuna vituko sana
Ila wanakosea sana kwani zari si hadi ana porn yule
Wanaona ya wema tuWamesahau kuwa pia Dee alikuwa ki Ben10 wa Zee
jamani tukubali ukweli Zari yupo juu kwa kila kitu hivi zari utamlinganisha na Shilole au na mlevi Wolper au nyumbu Wema au mke wa dogo janja uwoya? kubali kataa huyu dada ni next level mkuuInsta kuna vituko sana
Ila wanakosea sana kwani zari si hadi ana porn yule
Ebu nitumie iyo porn au niambie kwa kuipataInsta kuna vituko sana
Ila wanakosea sana kwani zari si hadi ana porn yule