Mabalozi na idara zao

Mabalozi na idara zao

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Wema sepetu-mabalozi wa wowowo Tanzania
Sanchoka
Masogange

Wolperstlyish
Nisha -mabalozi wa vibenten Tanzania
Wastara

Tunda-mabalozi wa kula na kulala hotelini
Lyin
Husna maulid

Basi sawa
 
Insta kuna vituko sana
Ila wanakosea sana kwani zari si hadi ana porn yule
Eeeh
Mi nashangaa eti wanasena masista wabongo kazi kuonesha misambwanda.

Ila alo onesha video ya ngono ndio wana mfagilia.[emoji1]

Wabongo tuna shobo zisizo na sababu hasa kwa wageni
 
Eeeh
Mi nashangaa eti wanasena masista wabongo kazi kuonesha misambwanda.

Ila alo onesha video ya ngono ndio wana mfagilia.[emoji1]

Wabongo tuna shobo zisizo na sababu hasa kwa wageni
Tunapenda sana shobokea wageni sijui hizi fkra zitatoka lini,halaf na waziri anaangalia tu kama jinga tu
Basi wampe na ubalozi wa vidonge vya majira afunge uzazi
 
Tunapenda sana shobokea wageni sijui hizi fkra zitatoka lini,halaf na waziri anaangalia tu kama jinga tu
Basi wampe na ubalozi wa vidonge vya majira afunge uzazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaah! The table you are shaking!!

Meza unayo tingisha hiii, wamekalia team zari, wakija hapa mi sipo.

Ila Zari hata kwao kwenyewe hathaminiki kama hapa. Tanzania ndio sehem pekee mwenyeji hapewi nafasi
 
Watanifanya nini Mama Sabrina jeuri kiburi nna roho saba meme,tunawaambia ukweli,halaf jitu ukiona jinga unaacha tu kulijibu ,basi nabii hakubaliki kwao basi ila kwa hili wamezidi mbwa hawa,waombee nisije kuwa waziri hahaha
 
Insta kuna vituko sana
Ila wanakosea sana kwani zari si hadi ana porn yule
jamani tukubali ukweli Zari yupo juu kwa kila kitu hivi zari utamlinganisha na Shilole au na mlevi Wolper au nyumbu Wema au mke wa dogo janja uwoya? kubali kataa huyu dada ni next level mkuu
 
Back
Top Bottom