Ndio taabu ya kuwa omba omba, hawa development partners wanajua timing sana kwani sasa wanajua mnapitisha budget yenu tegemezi na hapo hapo ndio watakapokaza screws juu ya misaada yao/ good governance!! Uchumia tumbo utaifanya serikali ifyate mkia na kulifungulia MwanaHalisi ama sivyo hakuna budgetary support na hivyo miradi mliyowaahidi wadanganyika itabaki hivyo hivyo kwenye karatasi!!
mkuu umeongea ukweli mtupu
Upepo tu utapita
nikimaliza ziara arusha naenda zangu ulaya,,,,,,,
mkuu umeongea ukweli mtupu
anategemea nchi za kiarabu zitaisaidia tanzania kwa sharti la kuwa nchi ya kiislam