Mabalozi wa jumuia za ulaya wajiandaa kutoa tamko kuhusu kufungiwa mwanahalisi

Mabalozi wa jumuia za ulaya wajiandaa kutoa tamko kuhusu kufungiwa mwanahalisi

Mwana-Nadha.jpg

BALOZI wa Uholanzi nchini, alipotmbelea gazeti la MwanaHALISI na kukutana na uongozi wa gazeti hilo, Saed Kubenea Mhariri Mtendaji na Jabir Idrissa, Mhariri mkuu wa gazeti hilo.


Wakati huo huo, taarifa zilizolifikia MTANZANIA zilisema kuwa Jumuiya ya Mabalozi nchini jana zilikutana na kufanya kikao cha pamoja kujadili suala la Serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi, kwa kile kilichodaiwa kuandika habari za uchochezi.





Duh! Hii picha iliyotumika kwenye huu uzi ni ya zamani sana. Huyo balozi aliyeko kwenye picha ameshaondoka nchini miaka kama mitatu iliyopita!
 
Hao mabalozi mpaka leo bado wanajiandaa.
 
Back
Top Bottom