Mabalozi wa jumuia za ulaya wajiandaa kutoa tamko kuhusu kufungiwa mwanahalisi

naunga mkono kufungiwa kwa gazeti la udaku la mwanahalisi.safi sana.
 
anategemea nchi za kiarabu zitaisaidia tanzania kwa sharti la kuwa nchi ya kiislam

Afadhali kuchakaa nguo kuliko akili, nguo unaweza kununua zingine akili je...udini utatumaliza aisee! Wewe JF kwako ni uwanja wa mapambano ya kidini wakati sie JF ni shule.
 
dah!!magogoni ipo necked kabisa....aibu sana!!

unajidanganya kweli,yaani ule uongo na uzushi wa sadist kubenea ndo uiweke serikali necked,yeye mzushi ndio ameachwa uchi
 
anategemea nchi za kiarabu zitaisaidia tanzania kwa sharti la kuwa nchi ya kiislam

mdini mkubwa sana wewe,umetumwa na katoliki au ni chuki tu ya moyo wako.kumbe unamchukia DR KIKWETE kwa sababu ya dini yake sio?????
 
na bado kitaeleweka tu Mwanahalisi la wiki iliyopita lilikuwa linakuja na yale majina ya wenye billion 300 uswiss ndio maana jamaa akaenda kugawa ng'ombe teh teh teh

mwanahalisi watakuja kwa hasira sahv. Hawataficha chochote. Ukilikosa ni sawa na unajinyima haki yako ya msing.
 
Afadhali kuchakaa nguo kuliko akili, nguo unaweza kununua zingine akili je...udini utatumaliza aisee! Wewe JF kwako ni uwanja wa mapambano ya kidini wakati sie JF ni shule.
jf kwako sio shule ni ajira,..nape si anakulipa kuja kumuita dr.slaa padri wakati unajua alishaacha upadri..
 
jf kwako sio shule ni ajira,..nape si anakulipa kuja kumuita dr.slaa padri wakati unajua alishaacha upadri..

Tatizo lingine la Pro-Chadema anaandika pumba kusambaza udini ukimbana kwenye hoja anamuingiza Dr Slaa kama ngao yake...wapi nimemtaja Dr Slaa ni Padre?
 
You are very right; thats exactly how it happened in Malawi! mukubwa professor Bingu wa Mutharika akagive inn; aka-kick bucket! Now AID has been restored to Malawi; no wonder wanaanza kiburi kututishia maisha kule Ziwa Nyasa.
watch out how this saga unravells!
 
Ameongea kweli au amekufurahisha wewe! Naona mmeamua kujifurahisha na kujiliwaza mnachekesha kweli Tanzania inyimwe misaada sababu ya Mwanahalisi.

hata kama kanifurahisha alichoongea jamaa ni ukweli mtupu hijalishi kwako umekereka
 
Hii ni aibu nyingine kwa taifa. Mimi siwalaumu watu wanaomshauri Rais, Namlaumu mshauriwa kwa uvivu wa kutofikiri faida na hasara ya kile anachoshauriwa!
 
Itanyimwa misaada kwa vile unatumia hela za serikali kununua maroli ya mafuta
 
Hivi hamuwezi kuchangia mada bila kuweka udini udini? Kila wakati midomo imebaki kama vile mk... wa bata ukihara! tak ata ka kabisa!
 
These foreigners they think they can run our government ..??? pathetic
 
Hao Mabalozi wa Ulaya hawawezi kilazimisha Serekali kuvunja Sheria zake.
Watakachofanya ni kutoa Tamko la kidplomasia, watajiweka katikati bila kufungamana na upande wowote. Hili ni Swala la Ndani ya nchi, na Maamuzi yake yataisia ndani ya nchi sio from Foreign Powers.

Afadhali kuchakaa nguo kuliko akili, nguo unaweza kununua zingine akili je...udini utatumaliza aisee! Wewe JF kwako ni uwanja wa mapambano ya kidini wakati sie JF ni shule.

Mkileta upuuzi wenu wa udini mnaona sawa tu, sasa mkiambiwa mienendo yenu na matendo yenu yanachochea udini mnang'aka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…