Katika siku ungepata LIKE mia zangu kama inaruhusiwa ingelikuwa leo.Pesa mbele,mambo ya demokrasi kila nchi itajijua. Kuna nchi zingine demokrasia haifanyi kazi mfano Libya wanajuta kumuondoa Gadafi. Sisi pia tupambane na Magufuli wetu tusiwategemee umoja wa Ulaya. Hayawahusu.
Yaani Raisi Macron aliongea kwa uchungu sana amesaini mkataba mmojawapo wa kiwanda cha kutengeneza gari Aina ya Peugeot Kenya.Alikuwa so emotional.Unaona kabisa kaumia.Na Mimi nakubaliana naye gari zilizokuwa zimeshika soko la Africa zilikuwa Peugeot za mfaransa , landrover na Albion za mwingereza,Fiat za mwitaliano na Benz za mjerumani.Kuendekeza non business issues agenda Africa kuliwa kick out of the African market na magari yao.Sasa hivi wao ni third class seller wa magari yao hayo Africa!!Naunga mkono hoja.
Kwa habari ya kuletwa na huyu kijani ,mkiambiwa demokrasia mnajidai hayawahusu ,ila kutembeza bakuri inawahusu .Ndio maana mmekimbilia mabeberu wa kichina na kirusi .Pesa mbele,mambo ya demokrasi kila nchi itajijua. Kuna nchi zingine demokrasia haifanyi kazi mfano Libya wanajuta kumuondoa Gadafi. Sisi pia tupambane na Magufuli wetu tusiwategemee umoja wa Ulaya. Hayawahusu.
Jpm ana nia nzuri ila atafelishwa na aproach ya uongozi wake.Pesa mbele,mambo ya demokrasi kila nchi itajijua. Kuna nchi zingine demokrasia haifanyi kazi mfano Libya wanajuta kumuondoa Gadafi. Sisi pia tupambane na Magufuli wetu tusiwategemee umoja wa Ulaya. Hayawahusu.
Kihalisia inatakiwa wawe ni wataalamu wa mambo ya mahusiano ya kimataifa pia na taaluma nyingine km ujasiliamali lakini wengi ni wanasiasa labda wanakalia politikiMabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china
Mfaransa ndio alianza kujiharibia Africa Kwa kuconcentrate kwenye non business issues.Nchi zinazoongea kifaransa Yaani francophone countries ndizo zinaibisha Africa Kwa Kuwa na tawala za mapinduzi Kila kuchapo.Arab spring nchi zile zote ni francophone countries Mali,ivory cost,,Rwanda,burundi,congo,central Africa,madagascar ,sychellles,comoro,chad nk ni aibu kwa afrika zote nchi zinazoongea kifaransa mchina sasa ndio kajitosa nchi hizo kibiashara kuzisaidia kibiashara.Pote penye kifaransa discipline ya siasa na utawala ni zero.Hakuna political stability sababu ya wafaransa kuendekeza non business agendas.Rwanda hadi iliamua kukimbia francophone kwenda British Commonwealth.Anyway Macrnn is trying to bring back France to business agenda .We welcome him though he had started with English speaking countries where peace and stability prevail we hope he will do so also to francophone African countries.As Tanzanians we wish him all the best as he tries to turn France from non business agenda to business agenda so as to make France great again in African business!!!!
Mabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china
Hayo mazingira kwa hiyo ni mazuri kwa mchina muuza Kila bidhaa na Mshika tenda kibao na mjapani muuza 99 percent ya magari yote yaliyoko Tanzania na mwarabu muuza mafuta yote yajayo Tanzania tu? Kwa nini kwao hao unasema tu ndio mazingira mabaya???????Uwekezaji na Biashara vinavutiwa na mazingira bora,mazuri na tulivu kibiashara pomoja na sera zinazotabirika hao mabalozi hawewezi kufanya magic kuvutia mitaji wakati hao wawekezaji wanaona yaliyotokea kwa Accacia,Korosho na maduka ya Kubadilishia fedha.
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
mabalozi wengi wa ulaya na Marekani Wengi wanaoletwa nchi zetu za Africa wengi ni activist!!! Ndio maana wakija kwetu wao ni kuhangaika na activists na umbeya wa local activists tu wakati balozi wa China na maofisa wake huzurura kutafuta tenda na business lobbying on behalf of Chinese business and companiesKihalisia inatakiwa wawe ni wataalamu wa mambo ya mahusiano ya kimataifa pia na taaluma nyingine km ujasiliamali lakini wengi ni wanasiasa labda wanakalia politiki
Ndio anatumia uchochoro wa biashara kujipenyenza. Akishaota mizizi yule ukagusa maslahi yake ndio ujiandae na mapinduzi. Ni king'ang'anizi. Bora hao wengine wanaongeaga tu na kuminya msaada. Yeye anagawa silaha tu.Mfaransa ndio alianza kujiharibia Africa Kwa kuconcentrate kwenye non business issues.Nchi zinazoongea kifaransa Yaani francophone countries ndizo zinaabisha Africa Kwa Kuwa na tawala za mapinduzi Kila kuchapo.Arab spring nchi zile zote ni francophone countries Mali,ivory cost,,Rwanda,burundi,congo,central Africa,madagascar ,sychellles,comoro,chad nk ni aibu kwa afrika zote nchi zinazoongea kifaransa mchina sasa ndio kajitosa nchi hizo kibiashara kuzisaidia kibiashara.Pote penye kifaransa discipline ya siasa na utawala ni zero.Hakuna political stability sababu ya wafaransa kuendekeza non business agendas.Rwanda hadi iliamua kukimbia francophone kwenda British Commonwealth.Anyway Macrnn is trying to bring back France to business agenda .We welcome him though he had started with English speaking countries where peace and stability prevail we hope he will do so also to francophone African countries.As Tanzanians we wish him all the best as he tries to turn France from non business agenda to business agenda so as to make France great again in African business!!!!
Hayo mazingira kwa hiyo ni mazuri kwa mchina muuza Kila bidhaa na Mshika tenda kibao na mjapani muuza 99 percent ya magari yote yaliyoko Tanzania na mwarabu muuza mafuta yote yajayo Tanzania tu? Kwa nini kwao hao unasema tu ndio mazingira mabaya???????
Mchina ana shughulika sio na Ku import tu hadi nyama ya punda ana export kufuga punda ni deal kubwa!! Mibuyu ina soko China wanatengeneza nguo zile suti zinazongaa sana.Nani kakudanganya kuwa Chinese business ni just importer wa kuleta bidhaa Tanzania? Marekani na ulaya ndio wanafanya hivyo sio ChineseWewe unataka nini? Uwekezaji wenye tija utakaoongeza thamani kwa malighafi za nchi na kutoa ajira nyingi au unataka kuwa dampo la uchuuzi na kubaki kuwa soko tu la bidhaa zilizomalizika kutengenzwa?
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Mchina ana shughulika sio na Ku import tu hadi nyama ya punda ana export kufuga punda ni deal kubwa!! Mibuyu ina soko China wanatengeneza nguo zile suti zinazongaa sana.Nani kakudanganya kuwa Chinese business ni just importer wa kuleta bidhaa Tanzania?
Ufaransa nayo iko kipindi kigumu kisiasa. Kwa sasa watulie kwanza afu waanze kazi. Mchina anipa Africa kitu inapenda.Yaani Raisi Macron aliongea kwa uchungu sana amesaini mkataba mmojawapo wa kiwanda cha kutengeneza gari Aina ya Peugeot Kenya.Alikuwa so emotional.Unaona kabisa kaumia.Na Mimi nakubaliana naye gari zilizokuwa zimeshika soko la Africa zilikuwa Peugeot za mfaransa , landrover na Albion za mwingereza,Fiat za mwitaliano na Benz za mjerumani.Kuendekeza non business issues agenda Africa kuliwa kick out of the African market na magari yao.Sasa hivi wao ni third class seller wa magari yao hayo Africa!!