ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
NonsenseMabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china