Mabalozi wa mataifa ya nje mlioko Tanzania hangaikieni biashara rais wa ufaransa amelalamika kenya

Mabalozi wa mataifa ya nje mlioko Tanzania hangaikieni biashara rais wa ufaransa amelalamika kenya

Mabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china
Nonsense
 
Basi mabalozi wetu huko China , Korea na Thailand watukuwa wamekusikia na watatafuta soko la Mbwa ili wafugaji wetu wa Mbwa nao watajirike kama hao wafugaji wa punda.

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves

mgen , mboga inawakimbia
 
Pesa mbele,mambo ya demokrasi kila nchi itajijua. Kuna nchi zingine demokrasia haifanyi kazi mfano Libya wanajuta kumuondoa Gadafi. Sisi pia tupambane na Magufuli wetu tusiwategemee umoja wa Ulaya. Hayawahusu.
Mawazo ya kijinga kabisa. Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania. Unatolea mfano Libya, mbona husemi majirani zetu Kenya ambao wana demokrasia na uchumi mkubwa mara 2 ya uchumi wetu.

Eti Libya, okay, Magufuli ana kitu gani extraordinary, miaka 5 inaisha hakuna kitu tangible, hakuna hata mradi mmoja wa maana umekamilika, kila siku matamko, utekelezaji wa bajeti ya maendeleo kwa miaka yote 4 ni below 20%, alafu over 50% ya hiyo bajeti ni charities, loans and grants.

What a foolish argument?!
 
Hujanielewa,sisi ndo tudeal na Magu siyo kutegemea watu wa nje,mara nyingi wapinzani wao hutegemea EU. Lakini sisi ndo tunaosuffer na siyo EU.
 
Mabalozi wa nchi hasa za ulaya na marekani wamekuwa muda mwingi wanahangaika na vitu visivyoingizia pesa mataifa yao Kama demokrasia nk.Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron akiwa Kenya kalalamika kuwa wamechelewa Sana kufanya biashara nyingi na Africa China imewazidi kila eneo kwa kuwazidi kibiashara, kiuchumi na kisiasa Africa.Mabalozi wa nje Mpo hapo. Mimi Naona sababu kuu ni hawa Mabalozi hupoteza muda mwingi kwenye non business issues tofauti na china
Yote hii ni kutaka kuhalalisha uminywaji wa demokrasia nchini,hapana!Kama tunataka hivyo tuchague moja,tuwe nchi ya kuendesha kifalme au kidemokrasia ya kweli na si vuguvugu!
China yeye hata muuane,yeye ilimradi anafanya biashara basi atawachekea tu na hata silaha za kuaana vizuri atawapa,huyo ndio mchina!
 
Mchina ana shughulika sio na Ku import tu hadi nyama ya punda ana export kufuga punda ni deal kubwa!! Mibuyu ina soko China wanatengeneza nguo zile suti zinazongaa sana.Nani kakudanganya kuwa Chinese business ni just importer wa kuleta bidhaa Tanzania? Marekani na ulaya ndio wanafanya hivyo sio Chinese
Waulize kale ka nchi ambako mchina kashika bandari yao,muulize kenya ambaye anaheshwa na mchina kulipa deni!
 
Back
Top Bottom