Tetesi: Mabalozi wa Tanzania katika nchi za Brazil na Comoro kurejeshwa nyumbani kwa ubadhirifu wa kukodi magari

... kama kumbukumbu zangu ziko sawa, mmojawao ni kati ya vijana sijui chipukizi wa chama waliopikwa wakaivika kisawasawa akishikilia nyadhifa nyingi ndani UVCCM na ngazi ya chama! Ni "mzalendo" kwelikweli kwa tafsiri ya chama. Hili chama sijui lina laana gani hakika!
 
Dr Nchimbi
 
Kama wasomi wengine wangekuwa wanafanya namna hii nchi ingekuwa mbali sana. Lakini sasa tumejaza maprofesa waongo, wanafiki, waoga na wachumia tumbo.
Wengi sasa wanajifunza kwake ili kuacha alama
 
lazima yatakuwa makada ya CCM tuu hayoo, lile jingine tena li- prorofesa likaiba ubalozini Italy lilipo fikishwa Mahakam mkapa akalitetea kisa likada la CCM!..........
 
Kurudishwa lazima arudishwe
Itategemea ni "udhaifu"wa nani,kama alikuta hakuna gari,amerithi matatizo,labda itabaki alichukua hatua gani?lakini ni wazi lazima atumie gari.
Kama haikupelekwa,ni nani alipaswa kuhakikisha gari inapelekwa na hakupeleka,au je!iliombwa labda hazina au wizara hawakuwajibika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini wasianze na hawa 1b vikao vya bodi na wale wa sare....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…