Tetesi: Mabalozi wa Tanzania katika nchi za Brazil na Comoro kurejeshwa nyumbani kwa ubadhirifu wa kukodi magari

Tetesi: Mabalozi wa Tanzania katika nchi za Brazil na Comoro kurejeshwa nyumbani kwa ubadhirifu wa kukodi magari

Mkuu, umeitoa wapi hii? Dingi yako nini? Umeanua hapo ukutani home, nini? Noma sana.

Tunasubiri kuona viongozi wa Jeshi la Polisi nao wakiwajibika/kuwajibishwa.

Mussa of the House Assad, the First of His Name, Controller and Auditor General, and Protector of the Check and Balance #ForTheThrone
D3zdTNRWsAACQ6e.jpg
 
Kutokana na ripoti ya CAG kuzilaumu ofisi za kibalozi za Tanzania nchini Brazil na Comoro kwa matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa kukodi magari, huenda mabalozi husika wakaitwa kuhojiwa na chombo maalumu ambacho nakifanya siri.

Baada ya mahojiano busara zitatumika kwa mujibu wa mamlaka za uteuzi.

Source: Chanzo nyeti serikalini.
Ki Comoro chenyewe kidogo mno. Nchi nzima iko pembezoni tu, katikati ni mlima.
Pale Moroni ni padogo kama Magomeni hivi. Sasa kuzunguka magomeni tu ndo hela zote hizo??
 
Ki Comoro chenyewe kidogo mno. Nchi nzima iko pembezoni tu, katikati ni mlima.
Pale Moroni ni padogo kama Magomeni hivi. Sasa kuzunguka magomeni tu ndo hela zote hizo??
Hapo chacha
 
Pia yule mwanachadema aliyejimilikisha gari la Chadema!
Hapa bavicha hawataki kabisa kusikia.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Yule aliyesema watu watachakaa vipi hajaiba kweli ,maana wanojipendekeza sana ni wezi na mafisadi wa hatari .
 
Back
Top Bottom