Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Tunasubiri kuona viongozi wa Jeshi la Polisi nao wakiwajibika/kuwajibishwa.
Mussa of the House Assad, the First of His Name, Controller and Auditor General, and Protector of the Check and Balance#ForTheThrone
Hahahaha, nimesikia kakaSudan kang'olewa mtu
Sudan kang'olewa mtu
Anaenda kenya tena?Hahahaha, Niko busy kumpokea Felix kesho
MTC | 101| [emoji769]
Mtonye awe Makini asiondolewe na wabunge wa FCC. Pia mdokeze muda umeenda aunde serikali.Hahahaha, Niko busy kumpokea Felix kesho
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, sawa mkuuMtonye awe Makini asiondolewe na wabunge wa FCC. Pia mdokeze muda umeenda aunde serikali.
Ki Comoro chenyewe kidogo mno. Nchi nzima iko pembezoni tu, katikati ni mlima.Kutokana na ripoti ya CAG kuzilaumu ofisi za kibalozi za Tanzania nchini Brazil na Comoro kwa matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa kukodi magari, huenda mabalozi husika wakaitwa kuhojiwa na chombo maalumu ambacho nakifanya siri.
Baada ya mahojiano busara zitatumika kwa mujibu wa mamlaka za uteuzi.
Source: Chanzo nyeti serikalini.
Hapo chachaKi Comoro chenyewe kidogo mno. Nchi nzima iko pembezoni tu, katikati ni mlima.
Pale Moroni ni padogo kama Magomeni hivi. Sasa kuzunguka magomeni tu ndo hela zote hizo??
Hapa bavicha hawataki kabisa kusikia.Pia yule mwanachadema aliyejimilikisha gari la Chadema!
Okay,nikajua kenya tena na tenaZiara ya ndani
MTC | 101| [emoji769]
wewe unatokea wapi? sababu mimi na yeye tunatokea sehemu moja japo sipendi kuongea mengi juu yake, sababu ni wa kunyumba.Kaka Emmanuel ni shemeji yetu wa kunyumba
Hahahaha, No yuko Lubumbashi anakaribia kutuaOkay,nikajua kenya tena na tena