Mabalozi wapya wa kigeni wakipewa vitabu vya kujifunzia Kiswahili (Diplomatic Gift) itasaidia kuitangaza vema lugha yetu?

Mbona hauandiki njia sahihi ya kufundisha kiswahili ili tuijue, au ndiyo hiyo ya kumpa kitabu akajifunze mwenyewe!
Soldier ni mtaalam wa Public Relations & Courtesy tu. Hayo ya namna bora ya kujifunza Kiswahili ni kazi ya walimu wa hiyo lugha husika na sio yeye.
 
Wazo jema sana kijana wangu. Komaa na nchi yako mpaka isonge mbele Zaidi.
Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100% Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.
 
Hawana pesa za kununua hivyo vitabu amazon ?, Kama kuna willingness ya kujifunza hata kama hakuna vitabu wataandika wenyewe...., lugha ni medium ya mtu/watu kupata wanachokitaka, kama wanachokitaka / kitafuta ni cha maana/manufaa kwao basi wenyewe watatafuta hio (tool) lugha ili wapate wanachokitaka...
 
Sasa ndio umeandika nini hapa na wewe?
 
Soldier ni mtaalam wa Public Relations & Courtesy tu. Hayo ya namna bora ya kujifunza Kiswahili ni kazi ya walimu wa hiyo lugha husika na sio yeye.
Watanzania kwa kupenda kuteteana hawajambo.
 
Mtu ataandikaje lugha ambayo haijui mkuu? Be serious bhana...
Unajua hii lugha

Jaane kahan daga de de, Jaane kise saza de de,
Saath na de kamzoron ka, Yeh saathi hai choron ka
Baaton aur daleelon ka, Yeh hai khel vakeelon ka
Yeh insaaf nahi karta, Kisi ko maaf nahi karta
Maaf isse har khoon hai

origin yake maneno kwa hindi language ni haya

ये अँधा कानून है, ये अँधा कानून है
ये अँधा कानून है, ये अँधा कानून है
जाने कहाँ दग़ा दे-दे, जाने किसे सज़ा दे-दे
साथ न दे कमज़ोरों का, ये साथी है चोरों का
बातों और दलीलों का, ये खेल वकीलों का
ये इंसाफ़ नहीं करता, किसी को माफ़ नहीं करता

Je mpaka ujue hicho kihindi hapo juu kuweza kukiandika ?
 
Haya ndio nini tena wee jamaa wee?
 
Haya ndio nini tena wee jamaa wee?

Yeh andha kanoon haiLaw is blind
Jaane kahan daga de deIt can cheat you anywhere
Jaane kise saza de deIt can punish anyone
Saath na de kamzoron kaIt doesn't stand on the side of the weak
Yeh saathi hai choron kaIt's the companion of the robbers
Baaton aur daleelon kaIt belongs to words and arguments
Yeh hai khel vakeelon kaIt's a game of lawyers
Yeh insaaf nahi kartaIt doesn't give justice
Kisi ko maaf nahi kartaIt doesn't forgive anyone
Maaf isse har khoon haiIt can commit any number of murders
 
Hauna hoja wewe naona unahangaika tu.
 
Hili swali ulipaswa kuniluza mimi na sio kuwapa lawama watu wengine wasiohusika
Utafiti umefanyika Magufuli anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Magufuli kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
 
Back
Top Bottom