I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 324
Jamani naomba kuulzia kama kuna fundi welding humu ndani au mtu yeyote anaye mjua fudni welding anaye tengenza mabanda ya biashara yale huwa ni shilingi ngapi na yana ukubwa gani kama kuna mtu anayo sio mbaya akaniwekea picha zake niya cheki pamoja na bei zake
NOTE; Kwa Dar es salaam tu jamani mana mmi nipo Dar
NOTE; Kwa Dar es salaam tu jamani mana mmi nipo Dar