Mabanda ya Biashara ya Chuma

Mabanda ya Biashara ya Chuma

I and myself

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
328
Reaction score
324
Jamani naomba kuulzia kama kuna fundi welding humu ndani au mtu yeyote anaye mjua fudni welding anaye tengenza mabanda ya biashara yale huwa ni shilingi ngapi na yana ukubwa gani kama kuna mtu anayo sio mbaya akaniwekea picha zake niya cheki pamoja na bei zake
NOTE; Kwa Dar es salaam tu jamani mana mmi nipo Dar
 
Nenda gerezani Kariakoo yapo kama hayapo watakutengenezea kwa ukubwa unaotaka.
 
Back
Top Bottom