Mabanda ya kufuga Nguruwe yanakodishwa Moshi

Mabanda ya kufuga Nguruwe yanakodishwa Moshi

Hakuna wezi?sitaki kuajri mtu mwenyewe nazama,he naweza kuongeza mengine maana naona kuna nafasi
 
Wakuu salaam
Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda?
Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia?
Kodisha mabanda haya kwa ufugaji wa kuku au Nguruwe( na la ng'ombe pia lipo) kwa Bei tutakayokunaliana.
Pia Kuna room ya mfanyakazi wako na geti....
TIMIZA NDOTO ZAKO ZA UFUGAJI UKIWA MOSHI BILA KUWA NA ENEO.
KARIBUNI
View attachment 2985035View attachment 2985037View attachment 2985038

Maeneo ni katikati ya Sango na Kiborilini
Mkuu bado yapo haya mabanda?
 
Na Naweza kuongeza mengine akuna wezi. Usalama upo
Mabanda yashachukuliwa.
ILA KUNA ENEO KARIBU NA HAPO LA MITA 20 KWA 20 LINAKODISHWA KWA AJILI YA KUJENGA MABANDA. BEI NI TSH. 100,000# KWA MWEZI.
 
Back
Top Bottom