Shirikisho la soka afrika caf limetuma barua na kuliomba kwa amri kali tff kutoa mabango ya gsm kwenye benchi la ufundi la simba na kama unavyoona sasa mabango ya gsm yameshaondolewa na simba kupitia page yao ya fb wamepost kuwa kila kitu kimekaa kwenye mstari na mechi kesho ipo kweli simba mbabe wa vita gsm na tff chalii.
Hivi ndio inatakiwa kuwa, hakuna kuleteana ushabiki kwenye masuala ya msingi, kanuni lazima zifuatwe makelele tupa pembeni, na wale viongozi wa TFF au bodi ya ligi walioingia huo mkataba wa siri na GSM wanatakiwa kushughulikiwa.