Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #201
This is SimbA.View attachment 2040019
Ngoja nikusaidie kukuamsha ndotoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is SimbA.View attachment 2040019
Ngoja nikusaidie kukuamsha ndotoni
Bilashaka n ww mkuu, maana hayapo🤣🤣Tukiingia kwa Mkapa na kuyaona hayo mabango ndipo tutajua ni Nani alikuwa anaota
Acha tuendelee kulala kama walivyolala Makolo hadi wakampa timu Mwamedi kwa 49% kwa 20B!! Na pamoja na faida zote za kibiashara anazopata kupitia mgongo wa Makolo, bado haishi kulia lia kwamba anapata hasara!!Msinufaikea Miaka iliopita mnufaike leo huyo gsm ni ntu ya dili
Amkeni wana uto mnaibiwa
49 billioni ?! Acha upotoshaji.Acha tuendelee kulala kama walivyolala Makolo hadi wakampa timu Mwamedi kwa 49B!! Na pamoja na faida zote za kibiashara anazopata kupitia mgongo wa Makolo, bado haishi kulia lia kwamba anapata hasara!!
Rudia kusoma ulichokiandikaAcha tuendelee kulala kama walivyolala Makolo hadi wakampa timu Mwamedi kwa 49B!! Na pamoja na faida zote za kibiashara anazopata kupitia mgongo wa Makolo, bado haishi kulia lia kwamba anapata hasara!!
Utajua HujuiNgoja tuone...
Waje wachukue takataka zao kabla sijaja na kiberiti
duh! Ivi utopolo wamewai kushinda kesi kweli?Unaanzaje kuisumbua club ambayo inategemewa na CAF?
Nyie mna koneksheni za TFF sisi tuko extra miles hadi FIFA tuna watu
Najua ungetamani makosa yangu yawe ndo uhalisia lakini, ndo vile tena--Rudia kusoma ulichokiandika
Mashabiki wa Simba Mbumbumbu- Aden Rage! Matokeo yake wakafurahia kukopesha 49% ya hisa kwa 20B wakati wajanja kwenye maudhui tu wanapata hiyo 20B maradufu!Yanga ni mazuzu - shafih dauda
Kumbe nimewapendelea sana aisee, though unatamani ingekuwa hivyo!!49 billioni ?! Acha upotoshaji.
Hapana, pole kwa kupigiwa mpira mkubwa.Kumbe nimewapendelea sana aisee, though unatamani ingekuwa hivyo!!
Ahsante, manake nimeumia sana yaani nyie jamaa mmepewa point 2 kisa tu mmeupiga mwingi halafu sie tukaambulia kamoja!! Hii sio Fair Competition kabisa!Hapana, pole kwa kupigiwa mpira mkubwa.