Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Kwan walioko CAF wote wanajua kidhungu ?!
Walioko kwenye communication department wote ni mahiri kwa kifaransa, kiingereza na kiarabu...CAF hawawezi kuwaweka mambumbumbu wa lugha hizo..
 
GSM ametrend kweli leo, nadhani kibiashara leo kashinda.
Ameuza magodoro mangapi kwa hiyo trend bwana utopize

3C4C9788-9D4A-4D38-8491-D34263EEB489.jpeg
 
Mabango ya GSM hayawezi kuondolewa kihivyo...subiri muone kesho uwanjani
 
Shirikisho la soka afrika caf limetuma barua na kuliomba kwa amri kali tff kutoa mabango ya gsm kwenye benchi la ufundi la simba na kama unavyoona sasa mabango ya gsm yameshaondolewa na simba kupitia page yao ya fb wamepost kuwa kila kitu kimekaa kwenye mstari na mechi kesho ipo kweli simba mbabe wa vita gsm na tff chaliiView attachment 2039560
Tupia hata kavideo basi,kama umeweza kupiga picha ungeweka na video kabisa.
 
GSM anawekeza kwenye ligi na sio Simba. Kaa kwa kutulia kolo mwenzangu
Sawa hiyo GSM logo watavaa mbeya kwanza na team nyingine simba hawavai na hela hawachukui shida iko wapi kutuwekea uchafu kwenye press conference.
 
Sawa hiyo GSM logo watavaa mbeya kwanza na team nyingine simba hawavai na hela hawachukui shida iko wapi kutuwekea uchafu kwenye press conference.
Taarifa iliyopo mabango yametolewa kwenye vibanda vya mabenchi ya ufundi peke yake ila kwenye mzunguko wa uwanja yapo kama kawa.
 
Sina timu njnayoishabikia hapa bongo, nimeandika katika mlengo wa kibiashara na siyo kiushabiki.

Unadhani ni wateja wangapi mashabiki wa Simba kawapoteza kupitia hili seke seke la kulazimisha Simba wavae logo yake kwa mgongo wa TFF?

Tunapoongelea hili ujue kushabikia Simba au Yanga ni kama Imani ya Dini, kama ni magodoro, wapo wengi tu wanauza na hata ukitaka ya quality ya Juu kabisa wapo supplier kibao wanaleta kutoka nnje ya Nchi, upande wa nguo za watoto ndiyo kabisaa, zimejaa tele hadi viduka vya mtaani, kama ni nguo za michezo napo wapo wanaoingiza mzigo wa kutosha.

Tukija kwenye vyombo vya ndani hapo ndiyo usiseme.GSM analetaj ujuaji wakati huo huo anawahitaji hao hao mashabiki wa Simba wanunue bidhaa zake.
 
Back
Top Bottom