Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Nafikiri ni amri ya CAF km barua inàvyoeleza.
Barua ya kufoji labda CUF ya Lipumba
IMG-20211210-WA0027.jpg
 
Mwafrika ni tatizo kweli. Yaani taasisi kama CAF wanaandika kama layman! Angalia jina Tanzania herufi ya kwanza ya jina imeandikwa kwa herufi ndogo. Hakuna alama ya full stop baada ya neno chaos. Sentensi inayoanza na legal,neno legal halijaanza kwa herufi kubwa. N.k

Hili linaweza kuonekana dogo lakini kwa Nchi au taasisi makini hili ni kosa kubwa. Najaribu kufikiri ingekuwa statement hiyo ingeandikwa na UEFA, kesho ingekuwa story kubwa kwenye vyombo vya habari Ulaya.

By the way sina tatizo na maamuzi hayo
Hawa bata jike wamefoji barua hakuna cha CUF

IMG-20211210-WA0027.jpg
 
Hivi ndio inatakiwa kuwa, hakuna kuleteana ushabiki kwenye masuala ya msingi, kanuni lazima zifuatwe makelele tupa pembeni, na wale viongozi wa TFF au bodi ya ligi walioingia huo mkataba wa siri na GSM wanatakiwa kushughulikiwa.
Magufuli aliwatupa jela hawa mafisadi
 
Kwa mjibu wa UTAFITI wa FORBES KAMPUNI ya GSM imetajwa mara BILION 3 ndani ya wiki moja na kuwa kampuni ya kwanza inayokuwa kutwajwa hvyo ikizipiku kampuni zote kubwa kama Samsung,apple,nike,addidas.
HONGERA kwa mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM Engineers Hersi Said.
Kampuni inajitangaza ukiwa UMELALA
 
Fobes ya kwaMpalang'e.
 
Back
Top Bottom