Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Sijawa disappointed...

Mikataba ya TFF/Bodi ya ligi imekuwa ina pindishwa pindishwa na vilabu, mara sijui logo ina rangi hii mara vile...

Hii inatoa picha hapo TFF hakuna watu makini, sasa hawa dawa yao ni wafadhili kuwatosa tu...
Usiseme hivo, vilabu kama Mbeya City vitaishi vipi.
 
Usiseme hivo, vilabu kama Mbeya City vitaishi vipi.

Kama zamani...enzi za FAT 😁

Au TFF isaidiwe na wizara linapokuja suala la udhamini wa ligi, so far imeahaoneaha kuna nongwa kibao tangu ilipoanza Vodacom hadi sasa...
 
Kwahiyo CAF huwa inajishughulisha na masuala ya wadhamini wa members wake?! Huu Mwandiko wa Makolo Pro Max kabisa huu halafu unataka kuwasingizia CAF?!
Hata tunajua ndg yang, sie tunachojua mabango yametolewa. Over
 
Hata tunajua ndg yang, sie tunachojua mabango yametolewa. Over
Nikiweka ushabiki maandazi pembeni ambao hauna manufaa yoyote zaidi ya kutambiana, ukweli wa moyo wangu mi naona poa GSM wasipodhamini ligi na hata wasipodhamini vilabu vingine kwa sababu ingawaje mnadhani mnaikomoa Yanga, kimsingi mtakuwa mnaifaidisha Yanga kwa sababu GSM watalazimika kujikita zaidi na mikataba yake na Yanga!! Atalazimika kuwekeza zaidi matangazo yake kwa Yanga!!! Kwahiyo 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Kisaikolojia yanga wameshatolewa mchezoni
Wewe ni mbulukenge kweli sijui unafikilia kwa kutumia tumbo au makalio, yanga unayoitaja apo ndo imesaini mkataba na tff? Iyo bangi umeivutia wapi?
 
yule zeruzeru kaufyata....shenzytype.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom