Yale mabango yaliomwaga kila kona ya mji na kukera kila anaepita si mtoto waa mkubwa yakiwa na mapicha ya ukubwani /utototni/ ya rais kikwete sasa yameanza kuondolewa rasmi...mabango haya yalianza kufumuliwa barabara jangwani jana na kuhitimisha yale matatizo yaliokuwepo