NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,313
jamani mbeya hamna mabango tena. Yametolewa usiku. What does this signify?
no more campaigns tufanye kazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mbeya hamna mabango tena. Yametolewa usiku. What does this signify?
Yale mabango yaliomwaga kila kona ya mji na kukera kila anaepita si mtoto waa mkubwa yakiwa na mapicha ya ukubwani /utototni/ ya rais kikwete sasa yameanza kuondolewa rasmi...mabango haya yalianza kufumuliwa barabara jangwani jana na kuhitimisha yale matatizo yaliokuwepo