GE2025 Mabango ya Kigwangalla, ya kumnadi rais Samia yapigwa stop Nzega Tabora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hana mipango mingine Nje ya Box zaidi ya siasa?

Hahahaha.

Watu wakishiba bwana wanaonaga wengine kama hawana akili.
 
Watu wanataka Baraka za mtarajiwa, ndio unafiki wenyewe.
 
Si ndio kafikiria nje ya box hivyo🀣🀣
 
Kigwangwala wewe kwa sasa ni kama MTOTO YATIMA...Rostam na Bashe,shikamoni...

Ila huyo Rostam kwa nguvu yake ya kiuchumi;ya kimtandao na hata uswaiba wake na wakubwa..tukilala anamuingiza huyo Mzee wa BBT Ikulu mapemaa
 

Kigwa pamoja na kuzindika kwa Waganga wote wa kienyeji huko Zenga mambo yake bado yanakwenda kombo.
 
Anabembeleza labda atapata ka uteuzi. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kuambiwa vijana wajiajiri mnaweza, lkn kujiajiri nyinyi aaaah!!
 
Huko ni kujipendekeza, bora akae kimya tu ataweza kulambishwa u rc, ras na ukurugenzi. Anatapatapa nini? Atulize mizuka yake
 
Naona kasha ahidiwa ubunge viti maalumu huyu Dr manyau nyau wa kinyamwezi.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…