figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Wanaodai Haki ni umma wa Watanzania, sio ChademaSijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Nchi gani hiyoWananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru.
Wanadai Katiba Mpya
Kutaka Mateka wote waachiliwe huru
Na utawaka haramu utoke madarakani.
View attachment 3617660
Mafisadi na walamba makalio ya mafisadi kama wewe awamu hii mtaelewa somo.Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Hao wote wanaakiliULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
Akikujibu ni pm nkupe lakiULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
Vipi Leo mikutano mmefanya? Huwa mnajifariji kwa vitu ambavyo havipo ndo maana mnaitwa wapumbavuMafisadi na walamba makalio ya mafisadi kama wewe awamu hii mtaelewa somo.
Laki yenyewe unayo? Nenda kampe ndugu Yako kijjnAkikujibu ni pm nkupe laki
Ulimpimaje binaadam mwenzio?Hao wote wanaakili
Watanzania wapi ? Kwamba mm siyo mtanzania?Wanaodai Haki ni umma wa Watanzania, sio Chadema
mpumbavu mama yako anaeng'ang'ania madaraka ilihali wananchi hawamtaki.Vipi Leo mikutano mmefanya? Huwa mnajifariji kwa vitu ambavyo havipo ndo maana mnaitwa wapumbavu
Kwahyo kuamini kuwa unaweza ukaendelea na mikutano ya umma ili hali imekatazwa unadhani ni akili au ni upumbavu?Ulimpimaje binaadam mwenzio?
Tulia ufanye kazi zako we mjingampumbavu mama yako anaeng'ang'ania madaraka ilihali wananchi hawamtaki.
Chadema wamefanya wapi?Kwahyo kuamini kuwa unaweza ukaendelea na mikutano ya umma ili hali imekatazwa unadhani ni akili au ni upumbavu?
Watanzania tukiikomboa nchi nyie Warundi na Wahuni wengine mtarudi kwenu chapWatanzania wapi ? Kwamba mm siyo mtanzania?