Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Sawa.Kwa Kiingereza hicho tu ni dhahiri hua ujanja huo, jichezee mdako ndg'angu siku ziende.
Sawa.Kwa Kiingereza hicho tu ni dhahiri hua ujanja huo, jichezee mdako ndg'angu siku ziende.
Upo chadema? Utakua ujinga ulienda nao chadema usiwasingizie.Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Chadema siyo waandaaji wa maandamano hayo lakini wanayaunga mkono kwa sababu maandamano ni haki ya watanzania wote, wao walisema ikifika wakati wa kuandamana watafanya hivyo na watafuata taratibu za kisheria kufanya maandamano hayo.maandamano hayo ni kwa hisani ya wananchi sio wanasiasa
Chadema hawausiki, ila wanaweza kuwepo au wasiwepo
Mimi sijapata hivyo vidude, mtuletee na sisi huku Musoma. Tunasubiri kwa hamu.Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru.
Wanadai Katiba Mpya
Kutaka Mateka wote waachiliwe huru
Na utawaka haramu utoke madarakani.
View attachment 3617660
CHADEMA imeandikwa wapo hapo kwenye hiyo karatasi?Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Hapa serikali presure ishaanz kuwa juuWananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru.
Wanadai Katiba Mpya
Kutaka Mateka wote waachiliwe huru
Na utawaka haramu utoke madarakani.
View attachment 3617660
Watanzania wapi ? Kwamba mm siyo mtanzania?
Hakuna watanzania wazalendo ambao wanaweza Fanya huo upumbavuNadhani anamaanisha Watanzania wenye akili timamu na walio na uzalendo wa kweli, siyo wewe!!
Hapa serikali presure ishaanz kuwa juu
Hiyo nafasi yakufanya vurugu nchini haipoNashauri wanao Fanya usenge huu wakamatwe sisi tuna taka haki ILA sio kwa NJIA ya kuchoma.vituo vya biashara au kuua polisi hatutaki mbwa nyie kumalimazenu
Jeshi limeamua kuwaachia nchi wanasiasa.Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru.
Wanadai Katiba Mpya
Kutaka Mateka wote waachiliwe huru
Na utawaka haramu utoke madarakani.
View attachment 3617660
Kumbe we jamaa ni mwehu hiviNashauri wanao Fanya usenge huu wakamatwe sisi tuna taka haki ILA sio kwa NJIA ya kuchoma.vituo vya biashara au kuua polisi hatutaki mbwa nyie kumalimazenu
Ndo Mimi hapa hata dadako sikushiriki nae BILA kuguswa kalioKumbe we jamaa ni mwehu hivi
Zee la matusi
Wakishakua ccm wanajua kila mtu anaepinga ni chadema.ULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
Hujachoka watu kupotezwa? Tuseme kwa kuwa sio ndugu zako wanaopotezwa sio?binafsi niseme kabisa siungi mkono maandamano haya. Tumechoka kuzika rafiki zetu, mkitoka mtoke on your own risks.
Wale watoto mliowaua kwenye banda umiza walichoma vituo gani?Nashauri wanao Fanya usenge huu wakamatwe sisi tuna taka haki ILA sio kwa NJIA ya kuchoma.vituo vya biashara au kuua polisi hatutaki mbwa nyie kumalimazenu
Nnazo sio nnayoLaki yenyewe unayo? Nenda kampe ndugu Yako kijjn