Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
HATA KAMA MABANGO YASIPOWEKWA LAKINI KUANDAMANA NI LAZIMA.AWAMU HII KITAWAKA KWELIKWELI.
Tukiisha ikomboa nchi lazima tuanze kuwafukunyua wale wote wanaotumia majina fake hapa Jamii forum kwa kuunga mkono mafisadi. Tutawapata tu. Haiwezekani tuko kwenye ukombozi wa rasilimali zetu harafu watu wanatukatisha tamaa tusiendelee na mapambanoWatanzania wa wapi au nyny mnaye comment pumba humu
Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Hakuna cha posho Wala nn ila hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchiniWewe unakula posho za bure, hakuna unachofanya
Watumie watoto wa lissu ambao wamezoea kula vyabureNnazo sio nnayo
Tena yangu halali,naipata kwa jasho langu
Simsifii yeyote isipokua MUNGU tu
UNA LINGINE?
sio utani
Kama una njaa njoo pm
Huwa mnajifariji kipumbavu sanaTukiisha ikomboa nchi lazima tuanze kuwafukunyua wale wote wanaotumia majina fake hapa Jamii forum kwa kuunga mkono mafisadi. Tutawapata tu. Haiwezekani tuko kwenye ukombozi wa rasilimali zetu harafu watu wanatukatisha tamaa tusiendelee na mapambano
Wengi walisema kama wewe. We subiri tuHuwa mnajifariji kipumbavu sana
Hayo mambo hayapoWengi walisema kama wewe. We subiri tu
Walamba matako ya mafisadi mpaka dawa iwaingie vizuri na itawaingia mtake mistake.Vipi Leo mikutano mmefanya? Huwa mnajifariji kwa vitu ambavyo havipo ndo maana mnaitwa wapumbavu
Mlamba matako ya mafisadi mpaka dawa ikuingie na itakuingia utake usitakeHayo mambo hayapo
Wanaandamania kukomesha ujinga mliojazwa na kihongosi yule mpiga fimbo walimuMnaandamania nini kwani?
Hakuna cha posho Wala nn ila hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini
Kupinga mtu kutekwa, kubambikiwa kesi wewe naona ni ujinga????Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Hamna mtu analamba matako ya mafisadi, tatizo ni mimi nina maduka na kituo cha mafuta halafu wewe mlugaluga wa vijijini uje kuvamia na kuchoma moto, sitaoana huruma ukifumuliwa ubongo, huna tofauti na vibaka wa usiku.Mlamba matako ya mafisadi mpaka dawa ikuingie na itakuingia utake usitake