Ni heri kuwa "mjinga", kuliko kuwa mpumbavu kama ulivyo wewe.Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Ni heri kuwa "mjinga", kuliko kuwa mpumbavu kama ulivyo wewe.Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Wangeanza na kusafisha mazingiraWananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru.
Wanadai Katiba Mpya
Kutaka Mateka wote waachiliwe huru
Na utawaka haramu utoke madarakani.
View attachment 3617660
Pambania ugali mwanakwetu!Sijajua kwanini ukishakuwa chadema tu tayr unakuwa mjinga,
Wewe ndie unamiliki Lake Oil au sio?!😂Hamna mtu analamba matako ya mafisadi, tatizo ni mimi nina maduka na kituo cha mafuta halafu wewe mlugaluga wa vijijini uje kuvamia na kuchoma moto, sitaoana huruma ukifumuliwa ubongo, huna tofauti na vibaka wa usiku.
Sio kila mtu anajihusisha na siasa, wengine tunatafuta hela
ULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
AnatetemekaULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
Au CCM pia?ULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
Chadema inamtesa sana huyu bwana. Pia mbogamboga woteULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
me sijasema mtu yeyote ana makosa au hana,Hujachoka watu kupotezwa? Tuseme kwa kuwa sio ndugu zako wanaopotezwa sio?
Waandamanaji wanavunja sheria ipi kwenye katiba yetu?
Kwanini usikemee wauaji?
Wauaji wapo sahihi ila Waandamanaji ndio wana makosa sio?
Au CCM yenyewe kwani Nani hataki mabadiliko?ULIJUAJE KAMA NI CHADEMA? KWANINI SIO ACT AU CHAUMA? AU CUF? AU NCCR?
Hata wewe umezoea kula vya buleWatumie watoto wa lissu ambao wamezoea kula vyabure
KumekuchaWananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru.
Wanadai Katiba Mpya
Kutaka Mateka wote waachiliwe huru
Na utawaka haramu utoke madarakani.
View attachment 3617660
Wanakula vya bure vya baba yao. Wewe unakula vya bure vya mama wa abdul.. Huna wazazi?Watumie watoto wa lissu ambao wamezoea kula vyabure
🤣🤣Mimi sijapata hivyo vidude, mtuletee na sisi huku Musoma. Tunasubiri kwa hamu.
Kwa hiyo mnawaogopa uvccm?UVCCM na green guard wamepewa sare za chadema wafanye fujo ili waseme ni chadema wamefeli tumeshavijua mapema
Patachimbika hao uvccm watarudi wamelowa damu wakamwambie alowatuma ameshafeliKwa hiyo mnawaogopa uvccm?
Hamtaandamana
Safi huo ndio uanaume, hakuna kulaza mshale kiboya boya.Patachimbika hao uvccm watarudi wamelowa damu wakamwambie alowatuma ameshafeli