Haahaaa🤣🤣Aisee....
mpaka huwa nachelewa misa ya kwanza kwa kusoma jina la church
The True Holiness Divine Revelation Church of the Apostolic Succession
Free Pentecost Church. Halafu wakaweka Galilaya Sinagogue.Mbona kiaswahili kipo...
Ni afadhali hayo, kuna Yale yenye picha za watu, hua najiuliza, huyu mtumishi kwenye picha akifa ndio huduma imekufa? Au inawekwa picha nyingine?Makanisa Makubwa kama RC, KKKT, Anglican, Sabato na Moravian wanekuwa wakijitambulisha katika Lugha inayoeleweka na wengi. Hata ktk Mabango yao utakuta yameandikwa Kiswahili Mfano kanisa Katoliki....., Kanisa la Kiinjilisti la Kilutheri Tayosisi.... nk.
Lakini haya makanisa mengine unakuta Bango la Kiingereza Kijijini huko ndani ambapo hata Kiswahili tu shida.
Hiyo Picha ya Bangor ni kwa MarhiasView attachment 2056095 nikitokea Moro
Haaahaaa. Ni kweli kabisa yapo yanayoweka Picha za MtunishiNi afadhali hayo, kuna Yale yenye picha za watu, hua najiuliza, huyu mtumishi kwenye picha akifa ndio huduma imekufa? Au inawekwa picha nyingine?
[emoji23][emoji23],na hilo jina anayeweza kulitamka ni Mchungaji wa makao makuu tu,huko mikoani kila mtu anatamka anavyojuaAisee....
mpaka huwa nachelewa misa ya kwanza kwa kusoma jina la church
The True Holiness Divine Revelation Church of the Apostolic Succession
Kwani Mlima wa Moto kwa Lwakatare hali ikoje bila mama?Ni afadhali hayo, kuna Yale yenye picha za watu, hua najiuliza, huyu mtumishi kwenye picha akifa ndio huduma imekufa? Au inawekwa picha nyingine?