Makanisa Makubwa kama RC, KKKT, Anglican, Sabato na Moravian wanekuwa wakijitambulisha katika Lugha inayoeleweka na wengi. Hata ktk Mabango yao utakuta yameandikwa Kiswahili Mfano kanisa Katoliki....., Kanisa la Kiinjilisti la Kilutheri Tayosisi.... nk.
Lakini haya makanisa mengine unakuta Bango la Kiingereza Kijijini huko ndani ambapo hata Kiswahili tu shida.
Hiyo Picha ya Bangor ni kwa Marhias
nikitokea Moro
Lakini haya makanisa mengine unakuta Bango la Kiingereza Kijijini huko ndani ambapo hata Kiswahili tu shida.
Hiyo Picha ya Bangor ni kwa Marhias