Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Kamanda yupi na anahusiana na Nini?Kampen ya ongea na kamanda 😄 😄
Mabango ya mama yapo, lakini Kuna haya mapya ya "TUMEWASIKILIZA" najiuliza yana maana Gani?Toka Ubungo hadi Kidoma na Mwanza mabango ni Mama🤣
kampeni ya kuongea na MUUWAJI MAFWELEKamanda yupi na anahusiana na Nini?
Sio mabango ya ccmWala hawajasikiliza chochote. CCM ni wanafiki