Mabango yaliyoandikwa chako ni chako yanachochea ubinafsi

Mabango yaliyoandikwa chako ni chako yanachochea ubinafsi

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Leo nimezunguka Dar nzima nimeshangaa kukuta mabango kila mahala hususani stand za magari, packing na vituo mbali na mawe pia.

Mabango hayo yanashawishi ubinafsi ili watu waendelee kuwa wabinafsi. Halafu anayetarajiwa kueneza hayo ni mtu anayejiita mtumishi tena amenipa majina ya mtume na nabii.

Jamani hizi dini hizi. Yaani yaani dhambi zinafanywa mchana kweupe kwa jina la Mungu.

Kwingine wanahubiriwa kwamba ukiokota fuko la hela na mtu aliyedondosha unamjua basi usimrudishie kwa sababu ni Mungu ameamua kukupa kupitia kuangushwa. Mungu gani huyo ambaye analenda wizi na pesa za dhulm azisizozako.

Jamani jamani achaneni na hizi dini mtaangamizwa bure
 
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake."
 
Back
Top Bottom