Kabla ya hapo mlikuwa mnalipwa shilingi ngapi? nadhani pia sio mdhamini mkuu ni mdhamini mwenzaMhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.
Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ilipokua ikipata matokeo uwanjani uliwahi kuwashwa washwa hivo!!?Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.
Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee shabiki lenu ilo la umbumbuniKweli UTO wenye akili ni wawili tu
Labda kwa mambumbumbu ila simba hakuna shabiki wa hivyoWee shabiki lenu ilo la umbumbuni
Binadamu hatuna wema kabisa, unakumbuka msimu huu mo alitangaza kwamba ametoa billion 3 kwa ajili ya kusaidia usajiri? sasa mbona hamkujitokeza kupinga kwa nini ametoa?Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.
Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi tunaambiwa Mo kachangia 2.4bil kwenye budget ya clubMhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.
Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
usajili upi wa milioni 500???? achana na bilioni 1,,,,,Binadamu hatuna wema kabisa, unakumbuka msimu huu mo alitangaza kwamba ametoa billion 3 kwa ajili ya kusaidia usajiri? sasa mbona hamkujitokeza kupinga kwa nini ametoa?
yupo kifuani (main) kwenye games za caf,
unashauri timu apewe nani?Mbaya zaidi tunaambiwa Mo kachangia 2.4bil kwenye budget ya club
Hii, timu kama huyu Mo ataendelea kubaki alivyo itakuwa mali yake atafanya anavyofanya.
Mkuu kama mbet kwenye kifua tu ni zaidi ya bil 5 ,je Mo aliyebandika matangazo jezi lote huoni hujuma?
Mweleze mkuu,atuambie usajili wa bil 3 ni upi pale Simba? Wachezaji gani haousajili upi wa milioni 500???? achana na bilioni 1,,,,,
bilioni 3 usajili ule upuuzi? pale hata 500M hazijatumika
Kufanya mali yake hawezi, serikali imeingilia kati ndo maana wakaambiwa wabadili katiba mwekezaji hatakiwi kuwa na zaidi ya 49% na hiyo 49% serikali inataka pia wawekezaji wagawane, walipeleka katiba ya Mo kupewa umiliki ndo mchakato ulipogoma na kuambiwa warekebisheMbaya zaidi tunaambiwa Mo kachangia 2.4bil kwenye budget ya club
Hii, timu kama huyu Mo ataendelea kubaki alivyo itakuwa mali yake atafanya anavyofanya.
Manji alikuwa anaidhamini Yanga,mbona baada yake GSM kaingia na anafanya vizuri,wawekezaji watakwepo tu.unashauri timu apewe nani?